Kwa hiyio Blog mpya ni YOTE NI MAISHA,Nawatakia usomaji mwema na kubadilishana mawazo kwa njia hii ya blog.
KARIBU DODOMA MAKAO MAKUU YA CHAMA NA SERIKALI,BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Jumatatu, 14 Aprili 2014
WASOMAJI WA BLOG YA TUJIFUNZE KUSINI SASA NAWAKARIBISHA KWENYE BLOG MPYA YA YOTE NI MAISHA
Kwa hiyio Blog mpya ni YOTE NI MAISHA,Nawatakia usomaji mwema na kubadilishana mawazo kwa njia hii ya blog.
Ukweli usiyo pingika kuwa iwapo kutakuwa na kutokubaliana na kuwepo kwa Muungano,watanzania hatutafika mbali.
Watu wanaodai kuwa hati ya Muungano haipo,Na bahati nzuri Hati zote tatu zipo ambazo zilihifadhiwa katika sehemu za siri,Sasa Hati hiyo imetolewa Hati halisi ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar .
Sijambo la busara kuwatuhumu Wasisi wetu.Cha msingi ni kumuomba Mungu Watu wa aina hiyo warudi kwenye mstari wafanye kile walichotumwa kwenye Bunge maalumu la katiba.

Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)