Ukweli usiyo pingika kuwa iwapo kutakuwa na kutokubaliana na kuwepo kwa Muungano,watanzania hatutafika mbali.
Watu wanaodai kuwa hati ya Muungano haipo,Na bahati nzuri Hati zote tatu zipo ambazo zilihifadhiwa katika sehemu za siri,Sasa Hati hiyo imetolewa Hati halisi ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar .
Sijambo la busara kuwatuhumu Wasisi wetu.Cha msingi ni kumuomba Mungu Watu wa aina hiyo warudi kwenye mstari wafanye kile walichotumwa kwenye Bunge maalumu la katiba.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni