Katika mtaa mmoja katika Manispaa ya Dodoma kwenye Studio Mtaa wa Komba' 'Market' nilikuwa naegesha pikipiki yangu karibu na Studio hiyo Ghafla akaja mpiga picha mmoja akanikabidhi picha hiyo,jina nimelihifadhi akanidhihaki kuwa kumbe Mzee bado wamo. Nikamuuliza kwa nini? akasema nilidhani umestaafu kazi huwezi sasa hata kusukuma pikipiki.
Nilicheka sana nikamuambia alisikia wapi mtu akisataafu kazi ndiyo hawezi kila kitu ni nani." Sawa Mzee karibu Dodoma umetuacha na umetukuta kalamu na sisi,sisi na kalamu" alisema Bwana huyo.Na huyo alikuwa mwana habari.Na alikuwa akitambua mwana habari hastaafu ,bali atastaafu majukumu ya Utumishi wa Umma katika Habari.lakini kwenye Blog yangu hadi ninaposhindwa kuandika kabisa.
KARIBU DODOMA MAKAO MAKUU YA CHAMA NA SERIKALI,BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Jumapili, 11 Mei 2014
KILELE CHA ELIMU KILIFUNGWA JANA KATIKA UWANJA WA JAMHURI MJINI DODOMA NA MAKAMU WA RAIS DR. BILALI
Kilele hicho kilionyesha njisi mikoa ilivyo chuana katika Taaluma,lakini ukweli ni kwamba shule za mashirika Kidini na watu binafsi ndizo zilizo unekana kung'ara zaidi kuliko za Serikali.
Je ninani alaumiwe kwa mtazamo huo? hizo ni kwa shule za Msingi na Sekondari,katika tukio hilo aliwatunuku medali na fedha walifanya vizuri,lakini kwa wale ambao hawakufanya vizuri wanachangamoto ya kubaini mapungufu yao ili wafanye vizuri zaidi na ikiwezekana kuwapiku hata wale ambao wamekuwa vinara kwa mwaka huu.

Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)