Jumapili, 11 Mei 2014

KILELE CHA ELIMU KILIFUNGWA JANA KATIKA UWANJA WA JAMHURI MJINI DODOMA NA MAKAMU WA RAIS DR. BILALI

Kilele hicho kilionyesha njisi mikoa ilivyo chuana katika Taaluma,lakini ukweli ni kwamba shule za mashirika  Kidini na watu binafsi ndizo zilizo unekana kung'ara zaidi kuliko za Serikali.
  Je ninani alaumiwe kwa mtazamo huo? hizo ni kwa shule za Msingi na Sekondari,katika tukio hilo aliwatunuku medali na fedha walifanya vizuri,lakini kwa wale ambao hawakufanya vizuri wanachangamoto ya kubaini mapungufu yao ili wafanye vizuri zaidi na ikiwezekana kuwapiku hata wale ambao wamekuwa vinara kwa mwaka huu.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni