Askofu mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es salaam Cardnari Policap Pengo,amewaambia Mashemasi wawili waliyo pata Daraja la Ukuhani na Maendeleo ya Kanisa la Kristu Ushemasi katikaKipindi cha Kutoka Kanisani na TBC ,kuwa wasiwe chumvi mawe.Amesema watakiwa wawe chumvi kwa ajili ya watu na siyo kwa binafsi zao.
Mashemasi Peter Mbula Mwana na mwenzake baada ya kupata daraja hilo la Ushemasi
Misa Takatifu imesomwa na Padre katika Picha.



Hakuna maoni:
Chapisha Maoni