WAZIRI Mkuu Mstaafu Mhe. John Malecela
alisema kuwa anamshukuru sana Rais magufuli kwa kutimiza azma ya Baba wa Taifa
Mwalimu Julius Nyerere kuhamia Dodoma. Nakwamba yuko bega kwa bega na Rais huyo katika jitihada zake za
kuipeleka Tanzania kwenye maendeleo.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni